Jack Wilshere ametakiwa kuacha tabia yake ya kuvuta sigara ili kuendelea na soka kwa muda mrefu.
ASHLEY COLE akijibu swali hilo mapema leo,katika utambulisho wa klabu yake mpya ya ROMA ya Itaria ,likihoji kuwa anakitu gani cha kuwaambia chipukizi kama Wilshere.

"Sitaki kumwambia ninamna gani ya kujieshim lakini ni juu yake kuelewa hilo”alisema ColeI
Ikumbukwe kuwa Jack Wilshere alikutwa akivuta sigara na wenzake Joe Hart pamoja na James Milner.
Hata hivyo Wilshere alikili kuwa anapendelea kuvuta ikiwa moja ya starehe ya na haina matatizo yeyote kwake.
No comments:
Post a Comment