Wazazi wa zaidi ya wasichana 200
waliotekwa nyara na wapiganaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria
wamekataa wito wa kukutana na rais wa taifa hilo Goodluck Jonathan.
Hakuna sababu zozote zilizotolewa na wazazi hao.
![]() |
Wazazi wa wasichana waliotekwa nyara |
Mkutano huo uliotarajiwa kuwa wa
kwanza kwa rais Goodluck Jonathan na wazazi hao pamoja na baadhi ya
wasichana waliotoroka mikono ya boko haram, tangu Boko Haram kuwateka
nyara wasichana zaidi ya mia mbili miezi mitatu iliyopita.
Wasichana hao walitekwanyara katika shule yao eneo la Chibok kazkazini mashariki mwa Nigeria.
Baadi wanamkosoa rais Goodluck kwa uamuzi wake wakisema umeshinikizwa na Malala
Mnamo siku ya Jumatatu mwanaharakati mdogo wa
Nigeria elimu Malala Yousafzai kutoka Pakistan alimsihi Rais Jonathan kukutana
na wazazi wa wasichana hao.

Vifo hivyo vinaripotiwa kutokea katika mashambulizi yaliyofanywa katika zaidi ya miji sabini na vijiji Kaskazini mwa Nigeria.
No comments:
Post a Comment