Arsene Wenger anajiandaa kumtoa kwa mkopo Carl Jenkinson 22 katika ligi kuu uingereza kipindi
hiki cha usajili
Wenger bado anamatumaini makubwa kwa
Jenkinson kubakia Arsenal, lakini anaamini itakuwa bora kama
atapata uzoefu kutoka katika klabu tofauti kwenye ligi hiyo.
Imeripotiwa kuwa West Ham,Newcastle na
Sunderland wameonekana kutaka kumsajili kinda huyo wa washika bunguki kuliko
kumchukua kwa mkopo wa muda mfupi.
Pia Arsenal wamemsajili Calum Chambers 19 wa
uamisho wa Pouni 16m kutoka Southampton
ambapo kimsingi amefaulu vipimo na kila kitu kipo sawa.

No comments:
Post a Comment