Wednesday, 16 July 2014

Haya sasa makubwa





Mwanamme mmoja kutoka Marekani amedai umiliki wa kipande kidogo cha ardhi barani Afrika kama ufalme wake kwa sababu bintiye anataka kuwa binti mfalme.
Jeremy Heaton akiongea na mtandao mmoja hivi karibuni alisema kuwa amesafiri kutoka Virginia nchini Marekani na bendera yake kutangaza eneo hilo kwa Ufalme wa 'Sudan Kaskazini.'
Eneo hilo ni jangwa la mraba wa maili 800 lililo kati ya Misri na Sudan, na halijamilikiwa na nchi yoyote.
Alisema kuwa ameandikisha rasmi maombi kwa nchi hizo mbili, japo bado hajapa jibu

No comments:

Post a Comment