Rais Barack Obama wa Marekani ametangaza kupanua
uwigo wa vikwazo dhidi ya Urusi kufuatia mgogoro unaoendelea
Ukraines.Tangazo hilo la Rais Obama linafuatia vikwazo vilivyotangazwa
na Jumuiya ya Ulaya saa chache kabla ya hili la Marekani.Hata hivyo Rais Obama amekanusha madai kwamba vikwazo hivyo vyaweza kuanzisha vita baridi dhidi ya Urusi, bali amesema kuwa wanalenga kuhakikisha Ukraine inarejea katika hali yake na kufuatia machafuko yanayoendelea hivi sasa.
No comments:
Post a Comment