![]() |
David Rudisha |
Bingwa wa michezo ya olimpiki mbio za mita 800 duniani David Rudisha amesawazisha rekodi ya
muda bora zaidi duniani mwaka huu baada ya kushinda mbio za mita mia nane
katika mbio za Almasi mjini Glasgow siku ya jumamosi.
Mkenya huyo alimshindi mpinzani wake wa karibu kutoka Afrika kusini Andre Olivier kwa zaidi ya mita hamsini na kusawazisha rekodi hiyo iliowekwa na mkenya mwengine Asbel Kiprop wiki iliopita.
Hatahivyo alishidwa kuipiku rekodi yake ya dakika moja sekunde 40 aliyoweka wakati wa mashindano ya Olimpiki mjini London mwak
No comments:
Post a Comment