
Miili ya watu imetapakaa kila upande
katika kile kinachoaminika kuwa masalia ya ndege hiyo ya muundo wa jet karibu
na kijiji cha Grabovo, kinachodhibitiwa na waasi wanaotaka kujitenga,.
Ndege hiyo nambari MH17 ilikua
inakaribia kuingia anga ya Urusi mawasiliano yalipokatizwa.
Rais wa Ukraine alielezea tukio hilo
kuwa ni tendo la kigaidi huku waasi wakikanusha kuidungua. .
Inaaminiwa waasi hao wanaotaka
kujitenga walizidungua ndege mbili za jeshi la Ukraine katika eneo hilo hivi
karibuni.
Anga ya Ukraine haikufungwa rasmi
lakini mashirika ya ndege ya Ujerumani, Lufthansa, Air France ya Ufaransa na
Uturuki,yanaliepuka
No comments:
Post a Comment