Saturday, 26 July 2014

Hezbollah:Wasema wapotayari kuisaidia Hamas kwa lolote japo kuna tofauti kati yao katika mgogoro wa Syria



Hezbollah wamesema wapotayari kuungana na Hamasi katika mapambano yanayoendelea huko Gaza japo kuwa wapo wametofautiana kwenye mapambano yanayoendelea huko Syria na kundi hilo.
Akizungumza jana kusini mwa Beiruti katika ngome ya kund,i kiongozi wa wanamgambo hao,  Sayyed Hassan Nasrallah, alisema kuwa kundi hilo la wanamgambo bila kuangalia tofauti zao kwa namna yeyote ikiwa ni kuwataka kujitolea kijeshi na misaada mbalimbali.
"Tukiwa wana  Hezbollah tutakuwa tayari kutoa msaada wa aina yeyeote utakao kuwa katika uwezo wetu ili kuakikisha tunawasaidia wenzetu wliopo katika ali mbaya uko Gaza.
"Sisi ni marafiki wa kweri katika hili,ni marafiki wa Jihad,udugu wa kiislam,matumaini,maumivu,kujitoa muhanga,na visivyo vumilika kwa sababu ushindi wao ndio ushindi wetu na kushindwa kwao ndio kushindwa kwetu,"alisema Nasrallah



No comments:

Post a Comment