DIRISHA la Usajiri limefunguliwa
lasmi balani ulaya huku klabu mbalimbali zikiwa zimejitupa katika harakati za
kutafuta wachezaji wanao wahitaji.
Usajili huo ukiwa ni pamoja na;
Arsenal kuwa wanauwakika wa
kumchukua Sami Khedira baada ya Chelsea kupunguza ushindani.
Manchester United wanakaribia kumchukuwa kiungo wa Juvventus
Arturo Vidal kwa pound 32m.
Toni Kroos amethibitisha kuwa
atajiunga na Real Madrid msimu ujao baada ya Man United na Chalsea kuonyesha
hali ya kukata tama.
![]() |
Sami Khedira |
Manchester City kumaliza usajili wao
kwa kiungo mkabaji wa Klabu ya Port Eliaquim Mangala ambapo watahitajika watoe
kiasi cha pound 32m.
Arjen Roben hatojiunga na kocha wake
wa timu ya Taifa Louis Van Gaal ambaye anatarajiwa kuwa kocha wa klabu ya Manchester
United .
Roben aliyaongea hayo baada ya
kuwathibitishia mashabiki wa Bayern Munich kuwa maisha yake ya soka yapo hapo.
No comments:
Post a Comment