Kocha mkuu wa klabu ya CHELSEA Jose Mourinho amesema kuwa kikosi chake kiko vizuri na kinauwezo wa kuifunga klabu yeyote katika ligi hiyo na kufanikiwa kuchukuwa kombe.
![]() |
Kocha Mkuu wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho |
“kama tusinge fikilia kuwa mabingwa hakuna sababu ya sisi kuwepo
hapa na kujituma”alisema Mourinho.
Mourinho ndiye kocha aliyeifikisha klabu hiyo nafasi ya tatu msimu
uliopita lakini amesisitiza kua kumaliza katika nafasi hiyo haikuwa dhumunu
lake.
Alipojaribu kudhungumzia kikosi kilichoko sasa akasemakuwa anaamini vijana
wake watafanya vizuri kwa kuwa wamesha iva vya kutosha kuchukuwa kombe kutoka
kwa Man City
No comments:
Post a Comment