Sunday, 20 July 2014

LIVERPOOL wapombioni kumtangaza mshambuliaji mfaransa Loic Remy ndani ya Anfield



Remy(27) ambaye alikuwa katika kikosi cha timu ya Ufaransa na kufiaka  robo fainali ya kombe la dunia Brazili 2014 akiwa mshambuliaji wa akiba alifanikiwa kuingia mara mbili kushuriki mchezo huo.
Kufika kwa mchezaji huyo Anfield ambaye msimu uliopita alikuwa kwa mkopo Newcastle  kutafanya Fabio Borin kutimkia Sunderland ambako kwa sasa yupo kwa mkopo.

No comments:

Post a Comment