![]() |
Rais mpya wa Iraq Fuad Msum akihutubia Taifa hilo |
Bunge la Iraq leo limemchagua Fuad
Masum kuwa Rais wanchi hiyo baada ya miongo miwili kuwahi kuwa waziri mkuu na
kuondoa kitenda wili cha nani kuwa Rais.
Akitangaza matokeo hayo, Speaker wa
Bunge hilo,Salim al Jubur,kuwa Fuad Masum aliyezaliwa 1938 akitokea katika
dhehebu la Kurdish kuwa ni Rais wanchi hiyo.
Uchaguzi huo ambao ulianza siku ya
jumanne na kuwakutanisha wagombea wawili tofauti akiwa Fuad Masum na Barham
Saleh na hatimaye Masum kufanikiwa kushinda kwa kura 211 huku kura 17 zikipotea.
Masum katika hotuba yake kwa mara ya
kwanza aliyoitoa muda mfupi alisema kuwa atajaribu kufungua milango kutoka katika madhebu tofaut kwenye uongozi
wake ilikuondoa tofauti zilizopo.
Ikumbukwe kuwa mapambano kati ya
vikosi vya Serikali na waislam wa dhehebu la sunni kaskazini na magharibi ya
Baghdad yamepelekea pawe na Taifa Jihad la kiislam (IS) na kufanya Taifa la
Iraq kumeguka vipande huku serikali ikitafuta nama ya kurudisha amani
iliyopotea.
No comments:
Post a Comment