Msanii Mwingine wa Bongo Anaswa China Kwa Tuhuma za Madawa ya Kulevya

HUKU modo maarufu Bongo,
Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, akisota jela nchini China
kwa skendo ya kukamatwa na madawa ya kulevya (unga), mrembo mwingine
ambaye aliwahi kujaribu kuchomoka kisanii kwenye muziki wa Kizazi Kipya
almaarufu kwa jina la Winnie Mandela, naye amenaswa na
polisi nchini humo…Inasemakana alikuwa Amebeba madawa tumboni na kupita
vizuizi vyote mpaka alipoingia mtaani ndipo msako wa Polisi ulipomkumba
na kumtia nguvuni….Hali Imekuwa Mbaya sana China kwa Watanzania kwani
wanaishi kama Sungura.
No comments:
Post a Comment