MANCHESTER UNITED wamethibitisha kuvunja record baada ya kupata udhamini wa nguvu kutoka kwa Adidas ambao wanatatoa pesa za uingereza 750M kwa udhamini wa miaka kumi.
Mkataba huo mpya ambao utakuwa
kwa miaka kumi utaanza kufanya
kazi kuanzia mwakani na utakuwa na thamani
ya zaidi mara mbili ya ule wa hapo awali
kwa NIKE.
Aidha mkataba huo umetoka na waliokuwa wadhamini wa klabu hiyo NIKE kudai
kuwa mahitaji ya klabu ni yalikuwa makubwa kulinganisha na makubalianoyao.
Hata hivyo NIKE wataendelea kama kwaidaa mpaka mwaakani ambapo mkataba huo utaanza kufanya kazi.
No comments:
Post a Comment