Wednesday, 16 July 2014

Pound 20m kumleta Filipe Luiz Dalajani



Klabu ya Chelsea na Atletico Madrid wamefikia makubaliano ya usajili juu ya beki  kisiki toka Atletico.
Luiz (28)ambaye tayari wameshakubaliana  kimsingi mambo binafsi na klabu hiyo ambayo maskani yake ni  London ya Magharibi (Dalajani).
Aidha Luiz atakuwa mchezaji  wa nne katika kipindi hiki cha usajili ambapo Jose Mourinho alianza kwa Mario Pasalic,Fabregas na Diego Cost.

No comments:

Post a Comment