Wema sepetu afunguka kuhusu kuzaa..........!!
Wema Leo Ameamua Kuwafungukia Wale
wanaopenda kumforce azae, Wema aliweka Picha ya Kim Kardashian akiwa
amembeba Mtoto wake na Kuandika Mbona Huyo Kazaa akiwa Miaka ya 30 sasa
kwanini watu wanamforce wakati yeye bado yupo 20′s Jisomee Mwenyewe hapo
chini:
No comments:
Post a Comment