
Hata hivyo Rihanna alikuwa ni sehemu ndogo ya matatizo yaliyojitokeza kwa Karrueche na Chris.
Taarifa hiyo inasema kuwa kwa muda mrefu Karrueche
alikuwa hana raha ...huku ikidaiwa kuwa kwa sababu Chris kuwa na vitndo vya
kitoto mara kwa mara na kutumia muda mwingi kupati kuliko kufanya shughulizake
za muziki
“Chris act immature,like child and he’s ruining his life
by spending more than making music”alinukuliwa Karrueche.
Vyanzo hivyo vya
habari vinasema kuwa vitendo vya chris vimekuwa vya kukatisha moyo.ikiwa wiki hii alikwenda St Tropez na
kumchukua ratokanae huku mwenyewe akiwa hajui.
Pia vyanzo hivyo vinasema kuwa Maamuzi ya Karrueche si jambo la wivu kwa kuwa aliamua kubadili namba ya simu yake ya zamani ili hasiweze kuwasiliana na Chris na inaweza kuchukuwa muda mambo kuwa sawa.
No comments:
Post a Comment