WATUHUMIWA19 wa milipuko ya mabomu
jijini Arusha leo wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu
mkazi na kusomewa mashitaka ya mauaji, kula njama na kushawishi, ugaidi
huku wakitakiwa kutojibu chochote. Kesi yao imeahirishwa na itatajwa
tena Agosti 15, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment