Bw.
Heche aliyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika mwishoni mwa
wiki katika Viwanja vya Shule ya Msingi Sima A, Wilaya ya Bariadi,
mkoani Simiyu.
Alisema
Bw. Makamba hana sifa za kuwania urais kama anavyoamini kwa kutumia
ushawishi wa vijana kupewa nafasi ya kuongoza nchi na kusema Watanzania
wanahitaji kiongozi anayeweza kutatua kero zao.
Bw. Heche ambaye alikuwa kwenye ziara ya Oparesheni Sangara inayoendeshwa katika Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara, alisema Watanzania hawako tayari kuongozwa na Rais kijana.
Bw. Heche ambaye alikuwa kwenye ziara ya Oparesheni Sangara inayoendeshwa katika Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara, alisema Watanzania hawako tayari kuongozwa na Rais kijana.
“Makamba
anaposema huu ndio wakati wa vijana kushika urais anapotoka kwani hana
sifa hizo….nawaomba vijana jitokezeni kujiandikisha katika Daftari la
Kudumu la Wapigakura ili tuweze kuiondoa CCM madarakani na kukiunga
mkono CHADEMA,” alisema.
No comments:
Post a Comment