JOSE
Mourinho ameweka wazi kuwa kipa namba moja wa muda mrefu wa Chelsea,
Petr Cech anaweza kuondoka klabuni hapo majira haya ya kiangazi mwaka
huu.
Baada
ya Thibaut Courtois kurejea klabuni kutokea klabu ya Atletico Madrid
alipokuwa anacheza kwa mkopo, tetesi zimeshaanza kuzuka kama kipa wa
kimataifa wa Jamhuri ya Czech ataendelea kushikilia namba moja katika
dimba la Stamford Bridge.
Mtandao wa Goal
unafahamu kuwa Chelsea wapo tayari kusikiliza ofa kutoka klabu ya PSG
iliyoonesha nia , na Mourinho amesema Cech anaweza kuondoka kwa
kutegemea Mark Schwarzer kuwa kipa namb
No comments:
Post a Comment