Friday, 1 August 2014

CRISTIANO RONALDO anamatumaini ya kucheza mechi ya kirafiki jumamosi dhidi ya Man United ikayofanyika Michigan,Marekani







 Captain wa Portuguese, ambaye ni mchezaji fbora wa duniania wa mwaka, Cristiano Ronaldo,amekuwa akisumbuliwa na kifundo cha mguu wa kushoto na kumfanya kushindwa kuonyesha machachari yake katika kombe la dunia Brazil.

Akizungumza na waandishi wa habari ivi karibuni  kocha mkuu wa Real Madrid Ancelotti alisema kuwa wanajitaidi kuakikisha Ronaldo anacheza katika mechi kati ya Man United jumamosi, baada mechi ya kirafiki iliyofanyika Dallas dhidi ya AS Roma  kufungwa 1-0.
"Ameuzulia vyema leo katika vipindi vyote vya mazoezi na kufanya vizuri kama anavyo fanyaga siku zote," alisema Anchelotti na kuongeza kuwa bado wataangalia kama Ronaldo ataweza kujiunga na timu katika mazoezi ya pamoja na kucheza katika mechi ya kirafiki dhidi ya Manchester jumamosi lakini wanatakiwa kuwa makini.

No comments:

Post a Comment