Kwa
mujibu wa gazeti la Star, Jumatatu mchana ya wiki iliyopita mwanamke
huyo ambaye hakufahamika alifika eneo la Sandton, Johannesburg ilipo
sanamu hiyo akiwa amevaa vizuri.
Ghafla akafanya kama ambavyo hufanya wakati wa kuoga, alitoa nguo zote na kusimama mbele ya sanamu hiyo na kuwapa watu onesho la bure huku wengine wakichukua picha na video exclusive za kupost katika mitandao ya kijamii.
Hata hivyo mwanamke huyo alipomaliza kufanya alichokuwa anakifanya
(ambacho hakijulikani) alivaa nguo zake moja baada ya nyingine tena
taratibu kama yuko chumbani kwake na kuondoka huku watu wakimshangaa.
Ghafla akafanya kama ambavyo hufanya wakati wa kuoga, alitoa nguo zote na kusimama mbele ya sanamu hiyo na kuwapa watu onesho la bure huku wengine wakichukua picha na video exclusive za kupost katika mitandao ya kijamii.
No comments:
Post a Comment