Davido atangaza Ngoma mpya aliyomshilisha mkali kutoka Maybach Music Group
Skelewu, Gobe, Ekuro,One of a
kind,Aye ni baaadhi ya nyimbo ambazo zinamuweka Davido kwenye chati ya muziki
na kumsaidia kushinda tuzo mbalimbali kama BET,MTV na nyingine nyingi.
Wiki ijayo mashabiki wa Davido wanatajia
kupata kusikiliza nyimbo mpya kutoka kwa Davido akiwa pamoja na member wa MMG anayetambulika
kwa Wale. Wimbo unaitwa Won Le Ba na taarifa hii imeripotiwa na Davido
mwenyewe.
No comments:
Post a Comment