Dunia ni ya kipekee pia ni
ngumu-kuzungumza kwamba aliyekuwa promoter na meneja ambaye alifanya Lennox Lewis kuwa World
Champion sasa anaishi kama mwanamke aitwaye Kellie
Kwa miongo mitatu, akijulikana
kama pua ngumu(Hard nose)- Frank Maloney akitawala kama moja ya wafalme wa
dunia, macho world of champion.
Maloney alikuwa promoter
na meneja aliye fanikiwa kumuongoza Lennox Lewis kuwa muingereza wa kwanza kuwa
bingwa wa dunia ambaye hakuwahi kupigwa karibu karne kupita.
Mamilioni ya wapenzi wa
ngumi wanamtazama kama sehemu ya kujifunza katika ulingo baada ya
ushindi wake 1992.lakini sasa anafahamika kama mama wa nyumbani.
Lakini nje ya ulingo,
Frank iliingia katika siri kubwa, na kuanza kutaabika katika mapambano ya yake huku
akihofia angeweza kamwe asingewezakushinda.
Frank Maloney, 61, imegundulika
kuwa anajiandaa kufanya mabadiliko ya jinsia na anaishi kama mwanamke aitwaye
Kellie.
Katika mahojiano, anaelezea jinsi alivyo anza kuisi
utofauti katika mwili wake kwa vile yeye
alikuwa mtoto na hatimaye alifanya
uamuzi wake ambao anauita wa kijasiri na kuwa mwanamke.
Frank akiwa amewahi kuoa mara mbili-na kufanikiwa kupata watoto wa tatu
pia inaonyesha mke wa pili baada ya kupata taarifa juu ya mumewe akapata uchungu
na kuamua kuachana huku hofu ya kuwepo kwa kuzorota kwa uwezo wake wa ndondi ukinukia.
Lakini mwisho, kwa Kellie, anaishi kama mwanamke katika suala la maisha au
kifo.
"Mimi nilizakiwa nikiwa
tofauti na daima nilitambua kuwa nilikuwa mwanamke," alisema Frank akaongeza kuwa sauti yake ngozi na hisia
ndivyo vilimfanya awe tofauti.
"Siwezi kuendelea
kuishi katika kivuli, ndio maana leo hii nimeamua kujitokeza hadharani.Kuishi
na kitu moyoni kwa muda mrefu matokeo yake kinaweza kukuzulu na kukuletea
matatizo,”alisema Maloney
KUHUSU WIVU

Akijulikana kama Londoner
Kellie akiwa na zaidi ya mwaka ndani ya kipindi cha mpito akijifunza
kukabiliana na kuwa kama mwanamke.
Katika miaka miwili
iliyopita Maloney alikuwa na siri kufanyiwa matibabu ya homoni, mamia ya masaa
ya nywele kuondolewa electrolysis, kufundishwa kuwa na sauti ya kike na mtaalamu
wa ushauri nasaha.
Miongozo ya NHS katika hali ya transsexual lazima kutumia miaka miwili
kama unataka kuwa wakike kabla ya wao kukuruhusu kufanyiwa upasuaji wa marekebisho.
“Hisia na mavazi ya kike huko ndiko wanako
fundisha “alisema Maloney na kuongeza kuwa hakutaka kuvaa mavazi ya kike lakini
ilishindikana.
“Lakini sikuwa na uwezo wa
kumwambia mtu yeyote katika ndondi,”alisema Maloney akiongeza kuwa mtu ambaye alifanya nae kazi Uingereza,Jumuiya ya Madola na Ulaya ndondi
championi alikuwa ni Bingwa wa zamani wa dunia David Haye ikiwa katika level ya
cruiserweight.
Kellie(Maloney) - ambaye
alikuwa ameweza kumfanya Lennox Lewis
1989-2001 kutambulika ulimwengu wa ndondi na baadae kuamua kukabiliana na
ukweli na kujitambulisha kama yeye ni mwanamke.
No comments:
Post a Comment