Thursday, 19 March 2015
Tuesday, 17 March 2015
Arsene Wenger believes Arsenal can defy the odds as former Monaco manager knows he will be expected to gamble on his first competitive return to Monte Carlo
In seven years as Monaco boss Arsene Wenger was never once distracted by the lure of its famous casino.
'I
spent a lot of time on the football pitches, I don't think anyone saw
me in there,' said Wenger, as he arrived at the Stade Louis II on Monday
night, aware that on his first competitive return to Monte Carlo he
will be expected to gamble.
Arsenal
paid the price for taking risks in the first leg and lost 3-1. As a
result history is stacked against them. In the Champions League era, no
team has overturned a deficit of two or more goals having played at home
first.
Delve back
into the European Cup and Ajax were the last to manage it, when they
needed a play-off to beat Benfica in 1969. Wenger was still playing for
Mutzig in the French third division back then, and Monaco manager
Leonardo Jardim was not yet born.
'The
statistics are against us, we are conscious of that,' said the Arsenal
boss. 'We have to give absolutely everything to make the stats lie.
That's our desire. We believe we can do it and I'm confident we will. If
we didn't believe we wouldn't be here. Football is not predictable.
'We
totally missed the first leg, which was surprising. We did not play
well. Sometimes in life if you miss a chance, you do not have a second
chance, but we do, so we will play it fully.'
But
he would not commit to a gung-ho charge from the outset. 'Early goals
or late goals but we need full power and must not forget the
organisation and structure of the team,' he added.
Disturbing
stats lay behind the headline stat. Monaco have not lost a European tie
at the Stade Louis II for 10 years. And they have not lost one at home
by a score which would knock them out since Leeds won 3-0 here, nearly
20 years ago.
Arsenal must score three and hope to keep Jardim's team at bay, something they were unable to do in London.
Wenger
has no shortage of creative flair at his disposal and backed France
striker Olivier Giroud, who has scored six in seven, to make amends for
chances missed at the Emirates Stadium.
It
might be easier if Monaco were not so miserly. But this team is built
on a stern defence. They have conceded only once in the last 12 home
games and did not let in a goal in three home Champions League group
games.
Despite
all this, Arsenal captain Per Mertesacker echoed the idea that belief
in the camp is strong, and has been improved by a team meeting in the
aftermath of the first-leg defeat, three weeks ago.
Arsene-Wenger-picture-special-Sportsmail-marks-Arsenal-manager-s-return-Monaco-Champions-League-showdown


The
team from the principality lead 3-1 after storming the Emirates three
weeks ago and with the second leg set up to be a cracker, we've produced
this picture special to mark the occasion and celebrate the early days
of Wenger's career as a boss.


Kutazama video za ngono zawaponza Majaji 3 nchini uingereza
MAJAJI
watatu nchini Uingereza wamefutwa kazi
kwa kutumia muda wao ofisini kutizama filamu za ngono.
Wakitajwa
majina kuwa ni Jaji Timothy Bowles anayesikiza kesi za wilaya , jaji wa maswala
ya uhamiaji Warren Grant na jaji Peter Bullock kuwa wamefutwa kazi.
Kwa
mujibu wa wachunguzi wa idara ya mahakama
walithibitisha kuwa Majaji hao walipatikana na hatia ya kutumia mtandao rasmi wa mahakama hiyo.
Maafisa hao wanasemekana kuwa Majaji hao walitazama
mitandao yenye filamu za ngono huku wakifahamu vyema kuwa ilikuwa ni ukiukaji
wa sheria za matumizi kwa mujibu wa msimamizi wa idara hiyo ya Mahakama.
Hata
hivyo kiongozi wa idara ya mahakama hiyo ya Uingereza na jaji mkuu waliwapata
na hatia ya kwenda kinyume cha maadili ya mahakama.
Jaji wa nne
Andrew Maw aliamua kustaafu mwenyewe wakati uchunguzi huo ukiendelea badala ya
kufikishwa kizimbani.Mwandishi mmoja wa maswala ya kisheria anayejulikana kama Clive Coleman anasema kuwa makosa hayo yalikuwa makubwa sana katika mizani ya uadilifu wa majaji.
Aidha imefahamika kuwa hakuna hata mmoja wao atakayeruhusiwa kufanya kazi katika idara ya mahakama tena.
Kufeli hesabu kumetibua harusi nchini India
KATIKA muendelezo wa vituko
duniani harusi moja ilitibuka nchini India
baada ya bwana harusi kufeli swali rahisi sana la hisibati aliloulizwa na bi
harusi.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa kihoja
hicho cha aibu kinachosemekana kutokea wakati bi harusi alipomuuliza swali bwana harusi kwamba ‘15 ukiongeza 6 utapata
nini’ na bwana huyo hasijue cha kujibu.
Hata hivyo polisi katika jimbo hilo la
Uttar Pradesh nchini India wanasema kuwa sherehe za harusi hiyo zilitibuka
baada ya bi harusi kufoka mumewe mtarajiwa alipotoa jibu lake kuwa ''17 ''.
Ni mara nyingi maharusi hukutana kwa
mara ya kwanza katika sherehe za harusi yao.
Cha kushangaza ni pale bi harusi alikurupuka
na kuondoka jukwaani akiwa amenuna huku akisema
hawezi kuoa mtu ambaye hakwenda shuleni.Hivyo juhudi zote za ndugu na jamaa
pamoja na marafiki waliofika katika eneo hilo kushuhudia ziliambulia patupu.
Na baadae polisi katika jimbo hilo walisema
kuwa jamaa wa bwana na bi harusi wote walikubaliana kurejesheana zawadi zote
walizokuwa wametoa kwaajili ya wapendwa hao.
Ifahamike kuwa asilimia kubwa ya
ndoa zote nchini India hupangwa na wazazi na mara nyingi maharusi hukutana kwa
mara ya kwanza katika sherehe za harusi yao hivyo Baba yake bi
harusi Mohar Singh ambaye ndiye aliyekuwa amepanga harusi hiyo katika kijiji
cha Rasoolabad akiongea na waandishi alidai kuwa mwanawe alishangaa mumewe mtarajiwa Ram Baran hakuwa msomi.
Katika tukio
linalofanana na hilo nchini humo lilitokea mwezi uliopita bi harusi mwengine
aliolewa na mgeni katika harusi yake baada ya Mumewe aliyekuwa amepanga kumuoa
kuanguka kifafa dakika chache tu kabla ya wawili hao kuunganishwa kuwa mume na
mke .Ndege ya BA yatua kutokana na harufu ya Choo

Ndege
hiyo aina ya BA ilikuwa ikielekea
Heathrow Uingereza kutoka Dubai safari ambayo kwa kawaida huchukua saa saba
hadi kufika.
Abiria
mmoja aliyekuwa ndani ya ndege hiyo aliyejulikana kama Abhishek Sachdev, aliandika kwenye mtandao
wake wa kijamii wa Twitter kuwa
''Amini
usiamini ndege yetu ya British Airways imelazimika kurejea dubai baada ya
wahudumu kugundua kuwa harufu mbaya inatokea kwenye choo cha ndege hiyo.
“Yamkini
rubani wa ndege hiyo aliwaita msimamizi wa wahudumu wa ndege hiyo ndipo
tukang'amua kuwa kulikuwa na tashwishi katika safari yetu” Sachdev alinukuliwa
na gazeti moja.
Anasema
walielezwa na rubani kuwa harufu mbaya
ndani ya ndege hiyo inatokana na choo cha ndege hiyo kuwa kichafu na kwamba
ilikuwa ni ya kinyesi.
Sachdev
anasema hadi kufikia wakati huo ilikuwa takribani nusu saa tangu ndege hiyo
ipae angani hivyo ikalamika kujerea nchini Dubai na ikawapasa kusubili zaidi ya
saa 15 kwa kuwa hapakuwa na mbadala wa kurejea London.
Kwa upande
wake mwakilishi wa ndege hiyo Greg James, Sarah, aliiambia Radio 1 kuwa jambo hilo
halikuwa suala la kufanyiwa utani kwani ukiwa ndani ya ndege ni tishio kubwa
kwa afya ya rubani na abiria kwa jumla.''Ndani ya ndege huwa kunautupu wa hewa kwa hivyo asili mia 50 ya hewa inayotumika ni ileile kwa hivyo harufu mbaya ingeathiri vibaya afya ya abiria ndio sababu ndege hiyo haikuwa na budi ila kurejea iliisafishwe''.alisema.
Hata hivyo shirika hilo la ndege liliomba msamaha kwa usumbufu wowote kwa abiria wake walioathirika siku hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)